flxjr
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 429
- 174
Mi mkeka m1 umebakHuyu **** kasepa na mtaji wangu wote.
Mi mkeka m1 umebakHuyu **** kasepa na mtaji wangu wote.
Daah Pole sana Mkuu ila avatar yako na unavyolalamikaHuyu **** kasepa na mtaji wangu wote. Kesho nayo siku.
Mkubwa vipi ujumbe wangu umeuona hapo juu naomba kujua namna gani una deposit bet365Daah Pole sana Mkuu ila avatar yako na unavyolalamika
[emoji3][emoji3]
Kwa international customers una deposit kwa visa debit card.Mkubwa vipi ujumbe wangu umeuona hapo juu naomba kujua namna gani una deposit bet365
Juventus ni timu mbovu haijawahi tokea dunianiAston Villa na JUVENTUS .. Mmeshililia pesa aseeeeee msiniangushe jamaniiiii
Hii inategemea idadi odd ulizonazo huyo 17000 alikuwa na odd nyingi na wewe hiyyo 16m ni odd chacheNimeenda kuhakiki hii kauli yako.
Nimekuta sivyo.
Stake ya mwisho kuweka 1XBET nimeona ni 16,000,000/= Tshs.
Jana nilistuka mapema..Sijui kama kuna watu walijiongeza..Juventus Juventus Juventus...watch out!
juve hapangiwi. anafanya anacho takaJuventus Turin oyeeee!!
Hapo umenena vemajuve hapangiwi. anafanya anacho taka
NawasubiriNgoja waje
Ndio hii app niliyopost??Tuma
[HASHTAG]#Besoccer[/HASHTAG]