Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila wakuu nagundua ukiweka team kama tatu basi ukaeka hela nzuri unauwezo wakula hela ambao ukiiweka kwa mwezi ni nyingi
 
Juventus ni timu mbovu haijawahi tokea duniani
Juve ni timu ya kiQUMER sijawahi kuona. Nawasomea albadir watolewe na Real Madrid kutoka UCL mapema sana, hawa umbwa!
upload_2018-3-18_13-9-45.png
 
Kila kona Juve. Yani hawa UMBWA nina hasira nao kinyama!!!!!
upload_2018-3-18_13-16-43.png
upload_2018-3-18_13-17-26.png
 
Achana nayo ishakua LOST.....ndio lost ya kwanza kwa leo tokea tuanze mapambano
Ingekuwa ya kwanza kwangu.. Ndio nilitaka nianzie hapo. Nimeona win kibao ila nimechelewa almanusura niangukie kwenye lost[emoji23]
 
Back
Top Bottom