Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ingekuwa ya kwanza kwangu.. Ndio nilitaka nianzie hapo. Nimeona win kibao ila nimechelewa almanusura niangukie kwenye lost[emoji23]
Yeah ungeumia, dah kachafua ukurasa maana tokea tuanze tunampiga tu Kanji
 
Kwema humu?
Jamani kuna mahali nimeuliza kuhusu App fulani hivi, nataka nii download kwangu. Wale Wazee wa Kuweka Mzigo, Hii hapa ni APP gani??

Hii hapa chini,
upload_2018-3-18_0-14-47-png.718179
 
Hivi hamna app yakubeti team mbili tu basi
Mbona zipo kibao tu,
Wanaokataa timu moja ni M-Bet peke yao nadhani, mpaka zifike tatu.
Lakini Premier Bet, Meridian, Mkeka Bet wote hawa wanakubali hata timu moja tu,
Sijui wengine lakini
 
Back
Top Bottom