Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liwalo na liwe.
Screenshot_2018-03-18-15-19-08-571_com.bet365Wrapper.Bet365_Application.jpg
 
Argentina - Primera Division,
Torneo Inicial
Live
ARSENAL DE SARANDI —
VELEZ SARSFIELD
1.9
Halftime - Total Over Goals 1st Half (0.5)
 
Leo tokea saa 10 mpk sahv Najaribu kudeposit 1xbet inagoma.

Nasubir push message naona haiji.

Bila push message kuja, nasita kabisa kufanya muamala.

Vipi kwenu wakuu?
Kuna yeyote alofanikiwa kudeposit kati ya mda huo nlotaja akafanikiwa?
 
Yeah mi nimefanikiwa mida ya saa12jion
 
Back
Top Bottom