Siku ya 3 leo mfululizo mikeka yangu yote naweka team kum kum,kuna utafit nafanya,..mikeka yote nakosa tim 1 tuu ndo inanifelisha
Jib nililopata: betting kwa odds ndogo ni nzur sana kwan mkeka wako unakua unatamanisha ila ni hatar sana sabab lazma ukose huo mkeka kwa either tim1 kukukosesha.
Na imagine ningeweka single bets kwa hyo mikeka,kila tim maana ningekua nakosa tim1 moja tuu,...lakin sasa the lower the risk the lower the pay...odds ndongo una risk stake kubwa kwa malipo hafif
Wakuu,heb nipen ushaur hapa nifanyeje,maana nime stuck
FAIDA YA SINGLE BET
Ni salama sana ukilinganisha na makokoro.
Huna na wasiwasi wa timu moja kukuchania mkeka.
Hasara ya kuchanika mkeka mmoja, unairudisha kwny mkeka mwngn.
HASARA YA SINGLE BET
Inachelewesha sana kupata faida kubwa ,
kwa maana inahitaji muunganiko wa mikeka mingi kujumuisha faida ili iwe kubwa.
Hivo kuhitaji nguvu, uvimilivu na muda sana ili kupata faida.
USHAURI
Cheza 25% ya stake yako ya siku kwenye makokoro.
Cheza 75% ya stake yako ya Sikh kwny Single bet inplay
25% YA MAKOKORO
Hii utaicheza namna hii
Ukiyagawanya mikeka yako ktk mgawanyo huu:
10% ya hiyo 25% capital kwa mikeka probability confidence 90% plus
8% ya hiyo 25% capital kwa mikeka probability confidence 75% plus
5% ya hiyo 25% capital kwa mikeka probability confidence 50% plus.
75% YA INPLAY
Hii utaicheza namna hii.
Ukigawanya mikeka yako ktk single slots za style hii.
Cheza 15% mpaka 20% ya hiyo 75% capital kwa kila single bet yenye confidence ya 90% plus lakini odds ni chache mno.
(Odds 1.15 mpaka Odd 1.30)
Cheza 10% ya hiyo 75% capital kwa kila single bet ya kawaida yenye confidence 75%plus, ikiwa na odds za kawaida
(Odds 1.4 mpaka odds 1.99)
Cheza 5% ya hiyo 75% capital kwa single bet yenye Risk but confidence kuanzia 50% plus ila ikiwa na odds kubwa.
(Odds 2.00 na kuendelea)
NI HAYO TU.
Nmewasilisha kwa 100% copy&paste from my own principles of betting.
HIZI NDIZO KANUNI NA TARATIBU ZANGU ZA KUBET.
***Mapambano yanaendelea*****