Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

H2H inaonesha hajawahi kushinda ugenini kwa huyo mpinzani wake mkuu
 
FAIDA YA SINGLE BET
Ni salama sana ukilinganisha na makokoro.
Huna na wasiwasi wa timu moja kukuchania mkeka.
Hasara ya kuchanika mkeka mmoja, unairudisha kwny mkeka mwngn.

HASARA YA SINGLE BET
Inachelewesha sana kupata faida kubwa ,
kwa maana inahitaji muunganiko wa mikeka mingi kujumuisha faida ili iwe kubwa.
Hivo kuhitaji nguvu, uvimilivu na muda sana ili kupata faida.

USHAURI
Cheza 25% ya stake yako ya siku kwenye makokoro.

Cheza 75% ya stake yako ya Sikh kwny Single bet inplay

25% YA MAKOKORO
Hii utaicheza namna hii
Ukiyagawanya mikeka yako ktk mgawanyo huu:

10% ya hiyo 25% capital kwa mikeka probability confidence 90% plus

8% ya hiyo 25% capital kwa mikeka probability confidence 75% plus

5% ya hiyo 25% capital kwa mikeka probability confidence 50% plus.

75% YA INPLAY
Hii utaicheza namna hii.
Ukigawanya mikeka yako ktk single slots za style hii.

Cheza 15% mpaka 20% ya hiyo 75% capital kwa kila single bet yenye confidence ya 90% plus lakini odds ni chache mno.
(Odds 1.15 mpaka Odd 1.30)

Cheza 10% ya hiyo 75% capital kwa kila single bet ya kawaida yenye confidence 75%plus, ikiwa na odds za kawaida
(Odds 1.4 mpaka odds 1.99)

Cheza 5% ya hiyo 75% capital kwa single bet yenye Risk but confidence kuanzia 50% plus ila ikiwa na odds kubwa.
(Odds 2.00 na kuendelea)

NI HAYO TU.

Nmewasilisha kwa 100% copy&paste from my own principles of betting.

HIZI NDIZO KANUNI NA TARATIBU ZANGU ZA KUBET.

***Mapambano yanaendelea*****
 
H2H inaonesha hajawahi kushinda ugenini kwa huyo mpinzani wake mkuu
Hilo nmeliona,

Ila hizo rekod naona ni za Kitambo kidg.

Kipind ambacho home advantage ilkua kubwa mno kWa home team kwny ligi hiyo.


Ila ukifatilia ligi yao kipind hiki, Home advantage imeshuka sana.

From 45% plus misimu ilopita mpka 30% plus msimu huu.

Afu ukiangalia huyu M.Town amekua akipata sana matokeo away.

Na point zake nyingi msimu huu amezikusanya akicheza away.

Na mpk hivi sasa anaongoza ligi.

Hii inanishawishi kuona kwamba hii game ya Leo anaweza shinda.
 
Hakika kungekua na watu wa5 kama wewe Tz hii,naamin tungefika mbali sana mkuu deepond,mungu akubarik sana...

Nme screenshot maelezo yote kesho naanza na utaratibu huu ulioandika hapo asee,...nashkuru sana mkuu
 
Sawa Mkuu tuko pamoja acha pambano liendelee
 
Kwa Live tips za Basketball follow me Twitter (BONGOBET)weka na alert ili nikipandisha mzigo unapata Chap
 

Attachments

  • Screenshot_2018-03-22-01-11-40.png
    24.6 KB · Views: 54
Handball Inplay
Russian Championship U18
Volgograg Vs Astrakhan
1st Half Under 25.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…