Hua nacheza Inplay
First half mara nyingi huwa na place bet katikati ya dk ya 17-25
Second Half mara nyingi huwa na place bet katikati ya dk ya 47-55
Hua nachagua Over au Under kutokana na mwenendo wa game (Hua nazingatia wastani wa magoli yaliyofungwa mpaka muda ninaotaka kuplace bet na kupiga hesabu kwa dk zilizobaki yanaweza kuingia mangapi)
USHAURI:
Anza na kiwango kidogo Sana ili kupata uzoefu na presha ya mchezo
halafu tumia kanuni ya DeepPond
Cheza 15% mpaka 20% ya hiyo 75% capital kwa kila single bet yenye confidence ya 90% plus lakini odds ni chache mno.
(Odds 1.15 mpaka Odd 1.30)
Cheza 10% ya hiyo 75% capital kwa kila single bet ya kawaida yenye confidence 75%plus, ikiwa na odds za kawaida
(Odds 1.4 mpaka odds 1.99)
Cheza 5% ya hiyo 75% capital kwa single bet yenye Risk but confidence kuanzia 50% plus ila ikiwa na odds kubwa.
(Odds 2.00 na kuendelea)