DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Sijapata kuandika report kamili.Mkuu lete report ya jana, huwa zinahamasisha sana
Maana Siko na PC hapa, nko shambani sahv.
Ila Jana kuamkia Leo asbuh, nmefunga hesabu kwa faida ya 174,522 Tsh kwa mtaji ule ule WA 90,000 Tsh.