Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hii wheel game mnaionaje 1xbet .....

Nilikuwa na buku 3 nikaliwa nikabakiwa na 600 nikawa kama nimezira nigazungusha kuja kucheki imegota kwa 25 nimeendelea kuzungusha naona nakula tu.....

Ila lina presha balaa maana 0 ziko za kutosha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Picha nimeambatanisha hapo chini
Screenshot_20180326-231836.jpg
 
Inachezwaje hii mkuu?
Unaweka stake then una click Bet hilo li dubwasha linajizungusha so sifuri ikigota kwa huo mshale wa kijana betting inakuwa lost and ikigota ×5 or namba nyingine unazidisha stake husika na namba itakayoangukia kwa mshale wa kijani.... ila nakushauri uweke 300 tu maana unaweza kufa kwa presha mkuu.....coz sifuri ni nyingi kupita maelezo
 
Ohooo mbio naenda kutest
 
Wakuu hii wheel game mnaionaje 1xbet .....

Nilikuwa na buku 3 nikaliwa nikabakiwa na 600 nikawa kama nimezira nigazungusha kuja kucheki imegota kwa 25 nimeendelea kuzungusha naona nakula tu.....

Ila lina presha balaa maana 0 ziko za kutosha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nmetest wameniambia ninazungusha kwa euro 1 nimezungusha nimekula lakin, wakaniambia nixungushe pesa ina double, nikashinda spins zote mbili ila hawajanipa chochote na pesa imepungua.
 
Unaweka stake then una click Bet hilo li dubwasha linajizungusha so sifuri ikigota kwa huo mshale wa kijana betting inakuwa lost and ikigota ×5 or namba nyingine unazidisha stake husika na namba itakayoangukia kwa mshale wa kijani.... ila nakushauri uweke 300 tu maana unaweza kufa kwa presha mkuu.....coz sifuri ni nyingi kupita maelezo
Nimechezea za uso za faxta faxta sina hamu nalo kbx
 
NBA USA
Detroit 2way win odds 1.40
Bolton Celtics 2way win odds 1.18
Charlotte vs NY Knicks over 214 odds 1.40

Jumla odds 2.32
Stake 10% OYC
Nilikufata umetoa huu,kama sio tips zako nisingeambulia chochote nashukuru mno watu wasio na roho za kwa nn km ww.
BTW naona km kuna nyingine zipo usiku usisite kuassist inapobidi.
 
Back
Top Bottom