Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimejifunza Kitu Kwenye Betting, Usiwe mwoga hata kidogo

Amua moja kufa au kupona.... Kula au Uliwe full Stop.

Kitu cha Msingi ni Kuhakikisha Unafanya Analysis na kujua umpe nani kwa sababu gani, hicho ndo cha Msingi zaidi.....

Kingine.. "Keep Limits"... HAKIKISHA unajiwekea Mipaka kwa Siku. Ili limit yako itakapofika uweze Kustop.

Tusiogope hasara wakuu kama ni hasara tumeshazipata nyingi tu na tutaendelea kuzipata tu. Pale ambapo Instincts zako zinakutuma Jilipue ndugu yangu ili ukipita unatoka na kitu kikubwa

That's All kwa Leo wakuu..... All the best.
 
Football. UAE President's Cup
Corners Al Wasl - Corners Al-Wahda

Total Over (7.5)

Odds
1.24
 

Umakini muhimu sana mkuu kama unatafuta Nyoka gizani.
 
Football. UAE President's Cup
Corners Al Wasl - Corners Al-Wahda

Total Over (7.5)

Odds
1.43
 
ni kwamba hii biashara ya forexkubet imeunguza account za watu au na ninyi mpo international break?
 
Jaman wakuu kwenye app ya ixbet nisehemu gan ya kupata mpangilio mzuri wa mechi kama zilivyo katika makampun mengine
 
Tuko pamoja kaka leo nimeshindwa kushika simu na kuwasha hata data mwajiri alinibana sana ndo nimerudi toka kibaruani ila ondoa shaka mapambano yataendelea
Pamoja sana Mkuu, Ukichambua usisite. Aminia Mzee.
 
Football. England. League One
Blackburn Rovers - Bradford City (1 Half)

Total Over (0.5)

Odds
1.45
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…