Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Hapa lazima wakulipe...Wapigie,Watumie meseji..Email. yaan wasumbue balaa.Hiki wanachofanya Mbet ni utapeli ni nini hiki?
Nimeplace bet Dk 8 kabla mechi kuanza halafu mwisho mechi zote zimeisha wananiandikia return invalid, huu si utapeli wanaoufanya?
View attachment 728395View attachment 728396
Hata wenyewe wameona makosa waliyofanya ulivyo watumia Screenshot. Ndo maana wameanza kukuzungusha. Hiyo ni haki yako.