Hii kampun inaitwaje?
Hii michezo ya biko,tatu mzuka na huu hapa yote ni ya kitapeli...hatuchezaji huu umakuKwa watu wetu wa nguvu mnaotumia Tigopesa, sasa mnaweza kuweka hela kwenye akaunti ya mCHEZA kwakutumia namba ya Kampuni *356688* halafu kwenye kumbukumbu namba utaweka namba yako ya simu uliyoisajili mCHEZA.
Kwa msaada zaidi au maoni tafadhali piga namba 0764701600 utahudiwa vizuri sana.
www.mcheza.co.tzView attachment 727626
@mCHEZA_tz “USHINDI KOTE KOTE
Hii michezo ya biko,tatu mzuka na huu hapa yote ni ya kitapeli...hatuchezaji huu umaku
Ndo inavyotakiwa.Dah,
Nilidhani kama mtu unaona kuna mechi una uhakika nazo unaleta ili na wengine wale??
Na ni Tabia mbaya kweli.Nilizani kuleta hapa Mikeka uliokula ambayo mwanzo kabla ya mechi hukuionyesha ni kuringishia, tabia ambazo wanazo watoto,
Unavyoleta hivi, Haisaidii kitu.
Hivi kuna watu bado wanatumia m bet hadi leo?hamia mbeti hutojuta
Wengi tuHivi kuna watu bado wanatumia m bet hadi leo?
ni wapumbavu na malofaWengi tu
Mchezashoo anasubiri mwende inboxUnavyoleta hivi, Haisaidii kitu.
Ungeleta kabla, au huoni watu wanavyofanya humu ndani!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Atasubiri sana.[emoji23]Mchezashoo anasubiri mwende inbox
Wakooo wengiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Atasubiri sana.[emoji23]
Hahaahahha...Noma sana.Wakooo wengiii
wameanzisha GRP LA what's up linaitwa wazee wa mizigoooo hahahaa walipoona tips zinamiminika nkaona naulizwa mmoja baada ya mmoja Nina lineyangu ya betting..nkajibu
Hapana walipofika watatu anauliza nkajibu ndiooo MNA shidaaa
Hahahaaaa nilikuwa calabash napata dompo nafungua simu hme.. Hahahaa walewale waliokuwa wakishukuruu wanaandika wakala wa khanji kwikwii
Mmoja akanifurahishaa anajiita starboy aka HEMED JUMA at I huyu bwanaaa ana maisha mazurii anatuzinguaa nikachekaa sinambavuuu...akamalizia anaweza kuwa mnyarwanda kha..hajajua wanyaluu wamejaa longy na uraia..ingawaa m n mchaga blood nkachekasanaa...
AVOID INBOX