Football. England. League One
Blackburn Rovers - Bradford City (1 Half)
Total Over (0.5)
Odds
1.45
Dah,Ondoa hofu mkuu, hawatuangisha!
Wait, game bado hazijaisha!Dah,
Still 0-0
Blackburn akishinda tu nakula pesa [emoji2][emoji2][emoji2]Wait, game bado hazijaisha!
Kweli hazijaisha,Wait, game bado hazijaisha!
Sahizi ungechekelea mkuu [emoji123][emoji13]Kweli nimeamini uoga wako umaskini wako odd 19.6 kumbe ningetia elfu 10 ningekuwa nachekelea na laki na tisini na sita elfu
Bet wonView attachment 728997View attachment 728998View attachment 728999View attachment 729000
Ila kuanzia kesho mpaka alhamisi kuna pesa nyingi sana ngoja nitengeneze bet slip za maana ......Sahizi ungechekelea mkuu [emoji123][emoji13]
Ila kuanzia kesho mpaka alhamisi kuna pesa nyingi sana ngoja nitengeneze bet slip za maana ......
Ili pasaka iende vyema kabisa
Kabisa Mkuu, cha msingi pasaka tuingize chapaa tuIla kuanzia kesho mpaka alhamisi kuna pesa nyingi sana ngoja nitengeneze bet slip za maana ......
Ili pasaka iende vyema kabisa
Mkuu hii najilipua nayo hapa majibu tutapeana asubuhiMKEKA WA MAANDILIZI YA PASAKA
NBA USA
Golden State Warriors vs Milwaukee Bucks
2 way 1 Odds 1.50
SAC Kings vs Indiana Pacers
Under 210.5 Odds 1.40
Jumla Odds 2.10
Daa nimeanza kubeti kama mwezi tu natumia sportpesa apk Leo tarehe 29 nimekula mikeka mitatu kati ya minne niliyo beti jumla nimepiga sh 56000 kalibu kila siku na kula
Mkuu Pdidy hii App Prediction inaitwaje?
nitag pia mzee mana napoteza tuUkiitengeza unitag..