Ni kweli curry ana impact kubwa GSW lakini si wakufingwa na Bucks tena nyumbani lakni nimetambua wapi kulikua na kosa lakini niamini si kwa sababu curry hakua ndaniMkuu ukiona Curry hachez usitie mguu
Winonbetonline.comMzee baba app hii inaitwaje?
Hiyo Stake Mzee[emoji23]cc msaada hapo wadau kapa kabisa miyeee msaadaView attachment 729096
FlashscoreApp gan hyo mkuu?
Mapambano yanaendelea, Leo nayo Siku Mkuu. Tuko Pamoja.Ni kweli curry ana impact kubwa GSW lakini si wakufingwa na Bucks tena nyumbani lakni nimetambua wapi kulikua na kosa lakini niamini si kwa sababu curry hakua ndani
nimeshafanya hvyo kablaUnaenda sehem wameandika e deposit utachagua njia ya kulipia alaf utaingiza namba ya simu na kias, baada ya hapo utapata mesej ya maelekezo. Bila kufanya hvyo ukilipia kawaida pesa haifiki kwny account yako
hvyo nmefany kabla mara zote hzoKumbuka cash utakayoweka kwenye net ndio hiyo hiyo weka km umechagua m.pesa ,tigo.pesa au airtel money wala usiweke tofauti na ulivyotumiwa sms
case yako iko hivi.Wakuu naomba Msaada
Jana nilideposit 1xbet
Usiku nkacheza na kula Asubuhi naamka hela yote imebetiwa kwenye Accumulator imebaki jero tu
Yan ile nilocheza ibaki na Ile nilokula zote wamebetia afu Wamempa Roma Ampige Barca naomba Msaada wa kuwasiliana na 1xbet live maana hela ni ndefu sana
hyooo option msaadaHiyo Stake Mzee[emoji23]
Embu kaCHARTI nao uone wanakwambia nini kimetokea? Si unajua jinsi ya kiCharti nao?Wakuu naomba Msaada
Jana nilideposit 1xbet
Usiku nkacheza na kula Asubuhi naamka hela yote imebetiwa kwenye Accumulator imebaki jero tu
Yan ile nilocheza ibaki na Ile nilokula zote wamebetia afu Wamempa Roma Ampige Barca naomba Msaada wa kuwasiliana na 1xbet live maana hela ni ndefu sana
Hata mimi hiyo Option ndo naiona hapo kwako.hyooo option msaada
Du goli moja tuuuu mkuu! Anyway, never ever give up. Ipo siku mambo yatakuwa pouwa. Hivi vitimu vya kutoka kuzimu ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!