Won.Cavs Vs New Orleans Pelicans, under 225
Mkuu nataka nianze kubet nifundisheni na mimileo pesa inaonekana nje nje kabsa leo
Mkuu angalia sana,wachezaji wametoka international games,Kuna weza kuwa na matokeo yasiyotarajiwaleo pesa inaonekana nje nje kabsa leo
Usisahau Kuna uefa plus injuriesGames baada ya international break zinakuwaga za kiboya draw kibao au mkubwa anapigwa tuwe makini.