Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijalalamika ila nimemjibu mtu ambaye aliuliza mbona Kama jukwaa limepoa Kuna kiringe kingine kimeanzishwa?watu wengi humu hawataki tu kusema ila wanaona Kama wako isolated waki post watu hawachangii mikeka yao .ndo maana wanapita kimya kimya huo ndo ukweli .Ni maoni yangu binafsi Wala si malalamiko.leo Ni siku mpya hebu to focus kwenye kumla mpilipili ili paska iwe tamu
Upo sahihi,Jf kuna ubaguzi mkubwa sana mtu ku-react kwenye post yako anaona kama utatajirika,ila yote kwa yote JF ni mtandao mzuri sn
 
Mpaka sasa bado sijapata...kila nikigusa naona moto...ngoja nijaribu kona:
1.Psg
2.Bayern
3.Barcelona
4.Man city
5.Watford
6.Burnley
B
Wote nawaomba over 8.5 corner...total odds 8+...M/Mungu jalia safari ngumu hii
angalau unaleta lugha inayo eleweka maana haya matokeo ya kusubiri nani ashinde dakika 90 ni kujitakia pureshaaa
 
nlikua natest mitambo nani apate yellow card nyingi nikampa liva japo sikuulipià kuona tu kama maajabu yanaweza tokea!! sasa anaongoza kwa kadi za njano
kampuni ni mcheza.co.tz
Screenshot_20180331-145811.png
 
kama kampuni unaypbetia ina option ya nani ahinde upande wa kona wape droo liva vs cryst
 
Back
Top Bottom