Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Fulltime Picks

Total Odds: 4582975171593.9

Time

Teams

Prediction

Odd

Bookie

14:00

Dunfermline - Queen of South

2

4.1

Bwin

17:00

Orlando City - New York Red Bulls

1

2.52

Bwin

13:00

Nancy - Reims

2

2.54

Bwin

21:00

Univ Catolica (Ecu) - Delfin

1

1.94

Bwin

16:00

Oviedo - Alcorcon

1

2

Bwin

16:00

KV Kortrijk - Waasland-Beveren

1

1.96

Bwin

14:00

Cowdenbeath - Stenhousemuir

2

2.02

Bwin

14:00

Montrose - Edinburgh City

1

1.97

Bwin

10:00

Trakai - FK Suduva

2

2.02

Bwin

14:00

Admira Wacker - LASK Linz

2

1.98

Bwin

14:00

Dumbarton - Livingston

2

1.8

Bwin

18:45

Sevilla - Barcelona

2

1.78

Bwin

14:15

Atromitos - PAOK

2

1.74

Bwin

18:30

Braga - Sporting Lisbon

2

2.5

Bwin

14:00

Kilmarnock - Hamilton

1

1.67

Bwin

13:30

Hannover - RB Leipzig

2

1.81

Bwin

14:00

Morton - Dundee Utd

1

2.68

Bwin

13:00

Genoa - SPAL

1

1.96

Bwin

14:00

East Fife - Ayr

2

1.57

Bwin

13:00

Radnik Surdulica - Javor

1

1.51

Bwin

11:30

Motherwell - Rangers

2

1.68

Bwin

18:30

Hertha Berlin - Wolfsburg

2

3.95

Bwin

18:45

Juventus - AC Milan

1

1.66

Bwin

13:00

FK Jablonec - Bohemians 1905

1

1.78

Bwin

14:00

Raith - Albion

1

1.44

Bwin

15:00

Dijon - Marseille

2

1.8

Bwin

11:00

Girona - Levante

1

1.63

Bwin

11:00

Amkar - Lokomotiv

2

1.55

Bwin

16:30

Hull - Aston Villa

2

2.98

Bwin

13:30

Hoffenheim - FC Koln

1

1.6

Bwin

14:00

Aberdeen - St Johnstone

1

1.89

Bwin

14:15

Athletic Bilbao - Celta Vigo

1

2.28

Bwin

16:30

Las Palmas - Real Madrid

2

1.37

Bwin

16:00

Spartak Moscow - Tosno

1

1.34

Bwin

19:05

Paris St-G - Monaco

1

1.54

Bwin

16:00

Besiktas - Alanyaspor

1

1.32

Bwin

13:00

Fiorentina - Crotone

1

1.5

Bwin

16:00

Sassuolo - Napoli

2

1.43

Bwin

13:00

Atalanta - Udinese

1

1.48

Bwin

13:00

Inter - Verona

1

1.18

Bwin

13:30

Schalke - Freiburg

1

1.59

Bwin

10:30

Bologna - Roma

2

1.61

Bwin

14:00

Falkirk - Brechin

1

1.27

Bwin

11:00

Akhmat Grozny - SKA-Khabarovsk

1

1.28

Bwin

14:00

Newcastle - Huddersfield

1

1.81

Bwin

13:30

Stuttgart - Hamburg

1

1.8

Bwin

13:30

Stuttgart - Hamburg

2

5.5

Bwin
Hapo kwa Stuttgart vs Hamburg cross check mkuu,naona Kama Hamburger anakufa
 
Wiki hii nmechezea vichapo balaa,bora nirud inplay tu,....nilikua nafanya utafit fulan wa kucheza timu kuanzia 30 lakin kwa odds zile za 1.04,..or 1.116. Etc,..ni kwel ,..sometime katka timu 30 nakosa mbil tuu,..ila cha muhim ni kwamba end of the day mkeka lazma uchanike kwa tim 1 or wateva,..nikija kwenye mikeka michache lets say tim 4 tu,bas me lazma 1 iue...

Wakuu najitahid sana kufanya tathmin ya match kabla haijaanza,nna app nying sana za uchambuaj,..

Sas nakosea wap,mbona upepo umekua mbaya sana kwangu..
uchambuzi una asilimia 70. Mengine yanabaki uwanjani. Kumbuka huwa tunatumia rekodi. Na rekodi zipo kuvunjwa.

Ndo mana huwa nasemaga, chambua uchambuavyo lkn kumbuka ya jana si ya leo.
 
Nilichogundua humu ndani watu wanabagua baadhi ya mikeka ya watu mpaka mtu fulani a post ndo mtu anaamini na
kuchangia,unaweza post hata mikeka 10 Tena possible win lakini watu hata kushauri tu kiss huna jina humu ndani au sababu zao.meamua kukausha au ku post mikeka iliyoshinda
mkuu we saidia tu bila kijalisha nani analike au kuchangia. wanasema kutoa ni moyo..
 
Ukimuua barca hesabu bet lost [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahahahaha mkuu acha iwe lost tu kwakweli ila hisia zinanituma hivyo

baka mes hayupo..... alaf wanjipanga na uefa madrid.... ramos isco... ronaldo hawapo wte wapo ugenini kama sijachanganya mafaili hali iko hivyo tuweni makini leo
 
Nilichogundua humu ndani watu wanabagua baadhi ya mikeka ya watu mpaka mtu fulani a post ndo mtu anaamini na
kuchangia,unaweza post hata mikeka 10 Tena possible win lakini watu hata kushauri tu kiss huna jina humu ndani au sababu zao.meamua kukausha au ku post mikeka iliyoshinda
kupata jina humu mbona rahisi tu mkuu unalalamika nn?
 
kupata jina humu mbona rahisi tu mkuu unalalamika nn?
Sijalalamika ila nimemjibu mtu ambaye aliuliza mbona Kama jukwaa limepoa Kuna kiringe kingine kimeanzishwa?watu wengi humu hawataki tu kusema ila wanaona Kama wako isolated waki post watu hawachangii mikeka yao .ndo maana wanapita kimya kimya huo ndo ukweli .Ni maoni yangu binafsi Wala si malalamiko.leo Ni siku mpya hebu to focus kwenye kumla mpilipili ili paska iwe tamu
 
we post, lkn uwe unaweka na mrejesho kwa kuuquote mkeka uliopost kabla na matokeo. Kesho watu watakuwa wanakuulizia wenyewe.
 
Back
Top Bottom