Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

"Unaseti multibet ya 12 teams .... alafu unaziangalia vile Yesu aliangalia disciples wake na kusema one of you will betray me"
Happy Easter Gamblers
 
unapiga.debe na.kampuni lako chovu !!hatujiiiiiii
nakusikitikia nimebeti humu na mikeka ya makampun tofauti ninayo na nimesha shea humu.

miongoni mwa watu wa mwanzo kujiunga na 1xbet nimooo
meridian bado hata sijajua kama kuna online nacheza kwenye betshop nimooooo
ikaja online tukapiga keleleee mambo ya server error akaja premier bet tukamwona kama mkombozi hakuna makato ya kodi wala kudipozi tukajiungaaaa yote nikutafuta unafuu
tatizoclikawa kuchelewesha malipo.

wakaja mkekabet tukajiungaaa tukacheza tukaliwa tukalaaa (root wakusoma Buddy nyegere mtoto wa nzi na weingineo ni mashaidi)

akaja sportpesa tukajiungaaa tukatoa madhaifu yake optionchache wamekuja mcheza, galsport, princess bet na wengineo kote huko tuna account

nije kuipa promo kampuni hiio uliyo itaja? ficha ujinga wako mkuu hapa tunatembea na options kama kampuni fulani inaoption inayokuvutia na unaona inalipa kwann usishee na wenzako?

hapo nimeweka jina la kampuni kukata midomo kama ya kwako ambayo ingeuliza ni kampuni gani hiyo
ni hayo tu.
 
no data no right to say.
march 22 nimeshea mkeka hapa...kupitia kampuni nyingine!! mikeka yako iko wapi?

IMG_20180331_153424_718.JPG
 
kweli mpira iman nimeamini maneno ya Deepond nlikua nahangaika kuuza bet ya buriam ikagoma baadae ikashuka hadi buku nkaona tayar ishakua hasara ngoja tiket iungue tu dk ya tisini anapiga msumari wa ushindi!!alikua amebaki yeye peke yake!!!!duu
 
nakusikitikia nimebeti humu na mikeka ya makampun tofauti ninayo na nimesha shea humu.

miongoni mwa watu wa mwanzo kujiunga na 1xbet nimooo
meridian bado hata sijajua kama kuna online nacheza kwenye betshop nimooooo
ikaja online tukapiga keleleee mambo ya server error akaja premier bet tukamwona kama mkombozi hakuna makato ya kodi wala kudipozi tukajiungaaaa yote nikutafuta unafuu
tatizoclikawa kuchelewesha malipo.

wakaja mkekabet tukajiungaaa tukacheza tukaliwa tukalaaa (root wakusoma Buddy nyegere mtoto wa nzi na weingineo ni mashaidi)

akaja sportpesa tukajiungaaa tukatoa madhaifu yake optionchache wamekuja mcheza, galsport, princess bet na wengineo kote huko tuna account

nije kuipa promo kampuni hiio uliyo itaja? ficha ujinga wako mkuu hapa tunatembea na options kama kampuni fulani inaoption inayokuvutia na unaona inalipa kwann usishee na wenzako?

hapo nimeweka jina la kampuni kukata midomo kama ya kwako ambayo ingeuliza ni kampuni gani hiyo
ni hayo tu.
huna lolote kwenda na likampuni lako la kichovu kama ni corner hata 1xbet zipo tena hakuna kampuni itaishinda kwa option ya corner
 
okay tufanye umeshinda. siwez bishana na mtu anaye bisha kwa hisia bila kuweka facts. nimeweka mikeka niliyocheza ktk kampuni nyingine bado unabisha. Hongera kwa ushindi niache ba kampuni yangu
 
Yan premeir bet asubhi walikua na options za card lakin et saiv wametoa. Ningejua ningebet ile asubh
 
Inaonekana leo kila mtu anataka afe kivyake......hamtaki kushare mawazo.
.
.
Good luck wasakatonge wenzangu.
Leo aisee inaonekana ni zamu ya shetani kula,yaani utake usitake mtu lazima upasuke.Ukimuua barca anashinda,Ukimpa PSG anakuua ss sijui hata uwekeje.
 
mpe city win
psg win
bayern gg man cty win then tulia
ayr win
raith rovers win
xamax win
 
Back
Top Bottom