Proffesor
JF-Expert Member
- Aug 13, 2014
- 2,170
- 3,028
Check DM boss.....!Hata namba ya Tigo
Mfano namba ni 0714 718 9
We andika 714 718 9 ,yaan unaiandika kwa kutoa 0 ya mbele..
By the way; Mzee mbona unaibania Mikeka yako ya 10MIN Draw?
Haha
Check DM boss.....!Hata namba ya Tigo
Mfano namba ni 0714 718 9
We andika 714 718 9 ,yaan unaiandika kwa kutoa 0 ya mbele..
By the way; Mzee mbona unaibania Mikeka yako ya 10MIN Draw?
Haha
TurboWakuu naombeni ushauri nataka niuze mkeka wangu zimebaki timu mbili tu.... atletico na virareal na keshapigwa moja vipi kuna possibility ya virrareal kurudisha goli hata moja maana kwa atletico huo ni uhakika ushindi ushauri please wana member.... [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Poa poa mzeee... maana nilimpa virrareal ashinde either half mkuuTurbo
Ukiwithdraw itakataa labda kama ulitoa kabla dak 45 hazijaisha...Poa poa mzeee... maana nilimpa virrareal ashinde either half mkuu
Ikitoka draw faida kwangu mkuu....
kila la kheri.0thers ignore crictiques others react violently but we/ some like us respond calmly all b'se we know wat we are doin
Ngoja nipotezee tu... kama atafungwa fresh ngoja nipotezee hiyo pesa mzeeUkiwithdraw itakataa labda kama ulitoa kabla dak 45 hazijaisha...
hakuna cku yenye mauza uza na mbaya kwngu km leo acha nilale2
normal imegoma kabisa hao villareal siwaelewi live nd kabsa eibar wanarukaruka2 magori hamna kabsaLeo ni hatar xana
Eibar mama...ee zaonormal imegoma kabisa hao villareal siwaelewi live nd kabsa eibar wanarukaruka2 magori hamna kabsa
not alone bro....[HASHTAG]#betwthpassion[/HASHTAG]hakuna cku yenye mauza uza na mbaya kwngu km leo acha nilale2