Shukuru Mungu kwanza kwa kila kidogo mkuu,maana wengine hata hatupati hyo pesa,na mhind alivo ungetia buku 5 unaweza kuta bet lostMkeka Kama Huu ningetia 5,000 ningekuwa nacheka tu..View attachment 731981
Placed On: 01/04/2018 14:48
TZS145,500.00 on Chelsea or Draw @ 1.36
ID: 34261772
type: Single
Settled (Y/N): No
Total Stake: 145,500.00 Tzs
Potential Win: 188,881.11 Tzs
Void (Y/N): No[/QUOT
pole sana sana mkuu hahahaah
Wakati Fulani app inazingua,jaribu kulog in Kwa web halafu deactivate bonus itakubali.Natumia app
Sorry kwa usumbufu,nimeingia kupitia web sjaona mahali kwa ku deactivate bonusWakati Fulani app inazingua,jaribu kulog in Kwa web halafu deactivate bonus itakubali.
Nenda Kwenye account setting..kuna kipengele kimeandikwa take part in bonus offer..jaribu hapoSorry kwa usumbufu,nimeingia kupitia web sjaona mahali kwa ku deactivate bonus
Angalau leo umetukumbuka[emoji23]
Bet Won, hii ilikuwa pesa ya bure kabisaKuna hii game ya Germany Under 19
Imeshafika dk 45+ goma 0-4
ila 1xbet inaonesha dk 38, wahi tia mzigo under 4.5 first half
Ckuipata hii gameBet Won, hii ilikuwa pesa ya bure kabisa
Bet LostInplay
Australia FFA CUP
Kingston vs Dandenong
under 1.5 Goals first half
Ipo 1xbetCkuipata hii game
BET WONInplay
Australia FFA CUP
Kingston vs Dandenong
under 4.5 Corners first half