Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Handball Inplay
Russia Championship
Samara Vs SSHOR
Under 27.5 first Half
 
Ushauli wenu wakuuu
Screenshot_20180402-124027.jpg
 
Dah bandugu leo mwenzenu ngoma imesimama dede maana majanga majanga tu,asubuhi nimeamka na mawenge nikatupia mkeka wa mauzauza,baada ya kumaliza tu cm ikastack na kugoma kufanya kazi mpaka muda huu ndo imeachia hv leo kuna heri kweli....?mh hela hii acha iitwe tu hela.Twende kazi wakuu.
 
Handball Inplay
Russia Championship
Samara Vs SSHOR
Under 60.5 Full Time
 
Inplay
SkiveIk vs Thisted Fc
Over 2.5 goals
weka laki uje unishukuru baadae
 
Aisee wakuu hawa 1xbet wanazengua sana kutoa PESA.. me nadhani sio kampun nzur
 
Back
Top Bottom