Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimetoa zaidi ya mara 10 mkuu. Si kwamba ndo naanza. Nimewapigia wanadai niwape national ID number, shiiida tupu.
Me Thursday nimewapiga PESA ndefu sana.. sanaa sasa naona kama hawatak niiitoe... kama wengine hawatumiw sms code why mimi wanizengue
 
Sera ni moja tu ninayokwenda nayo sasa hivi: So long as you cannot manipulate the odds, then manipulate the stake🙂😉🙁😡😕😎😛😀😱😳🙄😵
upload_2018-4-2_17-18-7.png
 
Nimetoa zaidi ya mara 10 mkuu. Si kwamba ndo naanza. Nimewapigia wanadai niwape national ID number, shiiida tupu.
Unge fanya full registration ile ya email sizan kama unge ulizwa ayo mambo ya National ID btw sijawah patwa na tatzo la kudeposit wala kuwithdraw 1xbet
Japo nna zaid ya week ya 3 sija bet kwa 1x
 
Haya malalamiko yasiyokwisha yananifanya nisite kuendelea kuwaamini 1xbet, bora nihamie Premier bet.
 
Timu zingine zinatia huruma sana I see....toka PR league hadi L1!!!!!!!!!
upload_2018-4-2_17-23-34.png
 
Unge fanya full registration ile ya email sizan kama unge ulizwa ayo mambo ya National ID btw sijawah patwa na tatzo la kudeposit wala kuwithdraw 1xbet
Japo nna zaid ya week ya 3 sija bet kwa 1x
Mkuu mimi nimejaribu kufanya full registration mara kibao lakini kila nikiingiza namba sahihi ya kitambulisho naambiwa sio sahihi...hadi nimekata tamaa, nimeghairi!
 
GEZUZ TIPS[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123].
.
.
#1. Fortuna Sittard - over 1.5
#2. Oldham - under 4.5
#3. Macclesfield - Wins
#4. Club brungee - over 1.5

> Stake High[emoji383][emoji383][emoji383]
> Profit guaranteed
> Happy Monday Easter.[emoji120]
 
Me Thursday nimewapiga PESA ndefu sana.. sanaa sasa naona kama hawatak niiitoe... kama wengine hawatumiw sms code why mimi wanizengue
Hiyo ""SMS CODE"" huwa wanaituma ikiwa ndo kwanza unatumia hiyo namba, au ulibadilisha namba.

So, wanatuma SMA CODE kama kuCONFIRM hiyo namba.

Na unapotoa kila mara, ile SMS CODE inaondolewa...Yaan unakuwa hauambiwi tena mambo ya SMS CODE.
 
Hili tatizo hata mimi liliwahi nisibu....kilichonikuta ni kuchezea pesa yote niliyokula,hizo code hawajanitumia mpaka leo
Code hutumwa kwenye namba uliyojisajilia au email, sasa inabidi ukumbuke uliweka uwe unatumiwa wapi/?ktk text au mail
 
Ok....ngoja nifanye kautafiti kidogo kabla ya kufanya maamuzi mengine.
.
.
Habari za siku nyingi lakini?
Lile group letu la risk takers bado lipo?
 
Hiyo ""SMS CODE"" huwa wanaituma ikiwa ndo kwanza unatumia hiyo namba, au ulibadilisha namba.

So, wanatuma SMA CODE kama kuCONFIRM hiyo namba.

Na unapotoa kila mara, ile SMS CODE inaondolewa...Yaan unakuwa hauambiwi tena mambo ya SMS CODE.
Poleni sana wadau wote mnaosumbuliwa kutoa pesa zenu maana kiukweli inakera sana maana mtu unachezea za uso muda mwingi halafu ukibahatika kuwala milolongo ya kupata pesa yako inaanza,nadhani ni muda wa kuwafikishia Ujumbe kuwa waboreshe taratibu zao ama sivyo watakuwa sio watu salama kufanya nao kazi hivyo itabidi kutafuta njia mbadala.
 
Ok....ngoja nifanye kautafiti kidogo kabla ya kufanya maamuzi mengine.
.
.
Habari za siku nyingi lakini?
Lile group letu la risk takers bado lipo?
Nzuri Mkuu...nahisi utakua umenifananisha, mimi huwa sina group zaidi ya hii thread Mkuu
 
Back
Top Bottom