Embu toa somo jinsi ya kuactivate namba ya simu mkuu
Maana malalamiko yamekua mengi sasa[/QUOTE/]
Fungua app then nenda "my account" then gusa kwenye kialama cha kuedit hicho juu hapo kama kalam, bofya hapo then "change my phone number"
Utakapobadili namba, hakikisha umbeandika ktk mfumo kama huu 7620782** na wala siyo 07620782**
Baada ya kujaza namba yako ya sim, utaletewa sms yenye codes ili uzijaze.
Jaza codes hizo, confirm, tayari mchezo umeisha.![]()
Fungua app then nenda "my account" then gusa kwenye kialama cha kuedit hicho juu hapo kama kalam, bofya hapo then "change my phone number"Embu toa somo jinsi ya kuactivate namba ya simu mkuu
Maana malalamiko yamekua mengi sasa
Safi mdau tayariFungua app then nenda "my account" then gusa kwenye kialama cha kuedit hicho juu hapo kama kalam, bofya hapo then "change my phone number"
Utakapobadili namba, hakikisha umbeandika ktk mfumo kama huu 7620782** na wala siyo 07620782**
Baada ya kujaza namba yako ya sim, utaletewa sms yenye codes ili uzijaze.
Jaza codes hizo, confirm, tayari mchezo umeishaView attachment 732595
Vip mdau ushafanikiwa kuwthdraw?Profesor
Mkuu vp zile nne ulizochukua hukuchanganya na kirusi kweli???maana shetani kaingilia kati show.Asante, ngoja nichukue hata 4
Follow this link to join my WhatsApp group: WAZEE WA KUWEKA MIZIGOAiseee Hili funzo sana..na nikosa nalirudia kila siku!!
Mkuu vp zile nne ulizochukua hukuchanganya na kirusi kweli???maana shetani kaingilia kati show.
Dah poa pole ila mapambano yanaendelea km kawaidaKuna jambazi moja limepigwa jenyewe badala ya kushinda
Tatizo kuziotea..na ni wajanja zile zinazotoa baadhi hawaweki.Bhandugu Mimi ni mdau sana wa kubet ila sijawahi kula hela kubwa zaidi 50,000. Sasa Kuna option ya 1x2 BTTL mkekabet. Naomba wale wataalamu tubashiri matches za Leo zitakazofungana na kuonesha nani mshindi, option hii ukiwa na mechi zako NNE tu za uhakikika unakuwa milionea kwa buku mbili.
Ila Kuna jamaa wanatoa predictions mtandaoni kwa %. Naona leo wameweka hizi zitakazofunganaTatizo kuziotea..na ni wajanja zile zinazotoa baadhi hawaweki.
Wengine hatuna idea hata chembe Mkuu... Tupe mwongozoBrothers tuwe tunajaribu NHL na MLB pia, pesa nje nje.
Mkuu hauhitaji rocket science wewe cheki statistics kwa flashscore tu.Wengine hatuna idea hata chembe Mkuu... Tupe mwongozo
Anhaa pamoja sanaMkuu hauhitaji rocket science wewe cheki statistics kwa flashscore tu.
Hii option hata mi naipenda snaBhandugu Mimi ni mdau sana wa kubet ila sijawahi kula hela kubwa zaidi 50,000. Sasa Kuna option ya 1x2 BTTL mkekabet. Naomba wale wataalamu tubashiri matches za Leo zitakazofungana na kuonesha nani mshindi, option hii ukiwa na mechi zako NNE tu za uhakikika unakuwa milionea kwa buku mbili.