Gezuz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 1,010
- 1,353
Oh! Sorry bila shaka nimekufananisha na Mr. Wise wa Chuga.Nzuri Mkuu...nahisi utakua umenifananisha, mimi huwa sina group zaidi ya hii thread Mkuu
Oh! Sorry bila shaka nimekufananisha na Mr. Wise wa Chuga.Nzuri Mkuu...nahisi utakua umenifananisha, mimi huwa sina group zaidi ya hii thread Mkuu
umetiki au bdo wausklziaaaBinafsi yangu mwenzenu leo naona cku imekuwa mbaya maana sina mkeka hata mmoja yaani full mauzauza nilifanikiwa kutoa tiketi moja tu ile ya kichwa chini miguu juu basi nimekubali ngoja niendelee kuwapa company tu wenzangu.
Mh aisee ni mgumu kumeza huooo,bado wenyewe ni mpaka watu watoke half time ndo naanza kuufuatilia maana ni wa 45mins 2nd half.na imekuaje umetiki au bdo wausklziaaa
Football. England. Championship
Burton Albion - Middlesbrough (1 Half)
Total Over (0.5)
Odds
1.46
Football. England. League One
Doncaster Rovers - Wimbledon (1 Half)
Total Over (0.5)
Odds
1.49
Football. England. League One
Scunthorpe United - Plymouth Argyle (1 Half)
Total Over (0.5)
Odds
1.365
Football. England. League Two
Accrington Stanley - Notts County (1 Half)
Total Over (0.5)
Odds
1.4
Jaribu kuiangalia kwenye email yako huenda wameituma hukoTatizo n hapa hawanitumii hiyo sms code.. hawatumiii.... ndo TatiZo..View attachment 732301
Mzee, Umetoa hela leo 1XBET?Jaribu kuiangalia kwenye email yako huenda wameituma huko
Utupe mrejesho lakini
Leo sijatoa nlitoa janaMzee, Umetoa hela leo 1XBET?
Namimi wameanza kuzingua[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NaWITHDRAW wanaleta hiyo ya kuingiza CODE
Sasa hivi tu nimejaribu kuwthdraw kwangu baada ya kuona malalamikoWazee, kuna aliyefanikiwa kuWITHDRAW hela 1XBET?
Duuuh...! Bhasi noma sana.Sasa hivi tu nimejaribu kuwthdraw kwangu baada ya kuona malalamiko
Mbona hata haijaniletea hiyo sms code
Wewe ulishawithdraw tena au leo ndio mara ya kwanza?Duuuh...! Bhasi noma sana.
Mi mara nyingi tu huwa naWITHDRAW.Wewe ulishawithdraw tena au leo ndio mara ya kwanza?
Daa jaribu kuchat naoMi mara nyingi tu huwa naWITHDRAW.
Ngoja tuone inakuwaje.
huwezi letewa sms bila Ku Activate namba yako ya simMapungufu yap unatoa PESA kwa njia ipi..?
Embu toa somo jinsi ya kuactivate namba ya simu mkuuhuwezi letewa sms bila Ku Activate namba yako ya sim