Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,093
Vipi ushawahi kushinda kwa kutumia option hiyo mkuu. Vipi leo tunazipa kipaumbele mechi gani za 1X2BTTLHii option hata mi naipenda sna
Vipi ushawahi kushinda kwa kutumia option hiyo mkuu. Vipi leo tunazipa kipaumbele mechi gani za 1X2BTTLHii option hata mi naipenda sna
Game ya kwanza ni ya fulham win & both team to scoreVipi ushawahi kushinda kwa kutumia option hiyo mkuu. Vipi leo tunazipa kipaumbele mechi gani za 1X2BTTL
Unabet options gani huko mkuu?Brothers tuwe tunajaribu NHL na MLB pia, pesa nje nje.
Kama ya football mkuuUnabet options gani huko mkuu?
ebu tupe ur favourate optionKama ya football mkuu
InakujeHii option ya under 4.5 goal nzuri sana jana nili test zali na timu kumi zikati na sasa nishatoka ku place another bet nasubili mambo yajipe
Aisee bado sijafanikiwa kutoa na nilishafanya hiyo step bado code hupew kwenye verification.. yaan n shida sana.Vip mdau ushafanikiwa kuwthdraw?
Kama bado jaribu kuactivate phone namba yako kama mdau alivyoelekeza hapo jui
Nimefanya vyote hiv holla mkuu
Daa mbona mimi nimefanya verification na code imekuja fasta tuAisee bado sijafanikiwa kutoa na nilishafanya hiyo step bado code hupew kwenye verification.. yaan n shida sana.
Daa mbona mimi nimefanya verification na code imekuja fasta tu
Sijui nn tatizo kwako sasa
Nenda pale sehem wameandika call back ingiza namba yako watakupgia simu utawaelezea shda yakoNimefanya vyote hiv holla mkuu
Tangu ujiunge uneshawahi kutoa hela?Aisee au kwa vile nilikula mpunga mrefu sana ndo maana hawatak niuchomoee..?
Utafanyaje sasa?Aisee au kwa vile nilikula mpunga mrefu sana ndo maana hawatak niuchomoee..?
Hapana sijawah toa PESA ndo mara ya kwanzaTangu ujiunge uneshawahi kutoa hela?
Iko wapi mkuu maana nina laptop hapa sion hiyo sehemNenda pale sehem wameandika call back ingiza namba yako watakupgia simu utawaelezea shda yako