Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Capture.JPG
 
Wakuu nimejaribu kuingia JF kawaida nikashindwa nikajaribu 1XBET pia nikashindwa ikanibidi nidownload VPN ndo nikafanikiwa vipi hii ni kwangu tu? Au kuna na wengine imewatokea?
Hata mimi ilishawah nitokea hata whatsapp haifanyi kaz.
Nika restore sim ikakubal
 
Leo tuna tokaje wadau??


Arsenal 3+
Atletico Madrid win
Lazio 3+
RB leipgz GG

Michango yenu ni muhimu wapi turekebishane!!!…
 
Duh Princess walichonifanyia hawajaweka mechi hata moja ya wavietnam inplay
 
Leo tuna tokaje wadau??


Arsenal 3+
Atletico Madrid win
Lazio 3+
RB leipgz GG

Michango yenu ni muhimu wapi turekebishane!!!…
Mkuu atletico 3+ Ni ku risk pesa ukiangalia opponent wake siyo team rahisi kufungika chukulia mfano alipokutana na Barca!pia naye Hana tabia ya magoli like wise wa atletico...ungetega 28+,au under 2.5 au 1-3 au2-3
 
Leo tuna tokaje wadau??


Arsenal 3+
Atletico Madrid win
Lazio 3+
RB leipgz GG

Michango yenu ni muhimu wapi turekebishane!!!…
Atletico ningempa first goal time 22 to 90 Min statistic zinambeba....goli 9 kati ya 13 alizofunga home ground katika Europa league amefunga kuanzia dk 30 plus
 
Back
Top Bottom