Yaani hawa jamaa hawana maana kabisa,mlolongo mrefuuuuuu kujisajili mpaka kero jana nilidownload ki Application chao but nikajisajili ila kwa kweli nililizimika kukinyofolea mbali kutokana na kuwa na vimasharti vya kishenzishenzi,wawapelekee waganda maana ndo wameona wateja wazuri kuliko tz,we matangazo yao yote km vile jackpot yote yapo ktk currency cjui za nchi gani cjui Guiyam,kudeposit fund wanataka card pin ss huo c upimbi,waende zao akhera watapata Wateja huko.Karibu supabets Supabets Tanzania
Nilisema mapema, wooooonHannover 96
Ajax
St ettiene
Weka zote over 1.5. Stake kama mlima Kilimanjaro
Tupe za leoNilisema mapema, wooooon
tiari lost yani siamin leo fukushima eti kalala tatu bila haijawahi tokea akicheza na yokohamaNdo hilo au?
fukushima msenge sana hili kokoro lilikuwa linajipa kabisa
Umetupotea kakaNawasalimu wakuu
ipoJaman hv wale timu ya matusi KUMAMOTO wapo au wlishuka daraja?