Yeah mkuu na sikucheki stats vizuri New Orleans wakishinda leo wanaingia ktk play off.Vikapu kumi vingi mkuu....
Leo naona championship league one league two kuna mechi za kutosha....
Naomba ukitengeneza bet slip uni tag mkuu
Mwenyewe hisia zimenituma hivo Kwanza tumsikilizie kipindi cha 2Inplay
LA Clipper to win.
Odds 4.2
Well done mkuu.Kikapu leo kimelipa
Ok mkuu, naona wiki 2 hzi business imekubali sana. Mungu ni mwema.Vikapu kumi vingi mkuu....
Leo naona championship league one league two kuna mechi za kutosha....
Naomba ukitengeneza bet slip uni tag mkuu
Doh safi sana mkuuEvery little helps brothers. Faida ya kukesha imelipa, acha nilale sasa. View attachment 739995