Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-4-9_18-20-6.png
upload_2018-4-9_18-20-47.png
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...shida kweli...
Mkuu Zinakera sana hizi post zao, bora Mods waweke tangazo juu ya uzi huu, maana daily kelele za group group as if there is something special cha tofauti na hapa uko ktk hizo group za whtsapp

Cc Innovator
 
Wadau mbona app yangu ya 1xbet haifungui kabisa

Ilinitokea hiyo week iliyoisha hadi ikabidi ni Download VPN ikakubali. Lakini kwangu ishakaa sawa sasa hivi situmii VPN.

Kwa hiyo Nadhani hiyo ni hali ya kawaida baadae itakaa fresh.
 
Mkuu Zinakera sana hizi post zao, bora Mods waweke tangazo juu ya uzi huu, maana daily kelele za group group as if there is something special cha tofauti na hapa uko ktk hizo group za whtsapp

Cc Innovator
Mauaji, kutekwa na kupotea sana kwa wenzetu mtaani ni tishio sn kipind hiki.

Ni vema tukachukua tahadhali dhidi ya "watu wasiojulikana"

Recently Watu wa intellijensia wamejaa sn humu JF

SOTE NI NDUGU, TULIOUNGANISHWA PAMOJA DAMU ZETU NA MTANDAO HUU.

Ni vigumu kujithibitisha kua wote tuliokatika Uzi huu ni kwa lengo moja la MAPAMBANO YA KWELI KUSAKA PESA

Au kwa lengo mamluki la MAPAMBANO YA KUTEKA, KUPOTEZA NA KUUA WENZETU.

NI VEMA TUKABAKI HIVI HIVI ANONYMOUS HUMU HUMU JF

Huko kwngne ni kwenda kujitengenezea mazingira ya kuji expose mikoni mwa "watu wasiojulikana"

MAPENDEKEZO
Huu mjadala wa kuhamia huko sijui telegram,WhatsApp, facebook& kwingineko Napendekeza UFUNGWE RASMI

Ni hayo tu wakuu,
 
Back
Top Bottom