Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hata Ahly angechana tu siku ya kufa nyani hiyo
upload_2018-4-9_16-4-6.png

Hapo angechana vipi wakati Option ni X2 ambayo nilijua nimemuweka kumbe niliweka kwa Zamalek???
 
Kama mnataka ma group ya whtsapp huku mmefata nini sasa???Watoto wa shule bhana bora shule zifungue mrudi shuleni tu. Ndio maana kuna muda wadau tunaamuaga kuupotezea huu uzi na hatuweki hata mikeka maana mnazingua sana, kila siku mnaelezewa lakinji bado mnarudia kitu ikoiko tu. Shule na vyuo vifungue mkawe busy sasa.
 
Simba nimewawekea mtaji woteeee ***** Roho mpaka inataka kuchomoka.
X2 ingewafaa, game za bongo alafu Simba na Mtibwa huwa unpredictable kabisa. Kila la kheri aisee, kama ni stake ndefu sana usifatilie matokeo, kama upo kwako lala ukiamka utajua matokeo
 
Anapataje ucngz
 
Kabisa wana Droo nyingi hawa wapuuzi. Nimeshawishiwa na Uzito wa game ya leo kwa Simba na Mwenendo wa simba kwenye Ligi.
 
Kama mnataka ma group ya whtsapp huku mmefata nini sasa???Watoto wa shule bhana bora shule zifungue mrudi shuleni tu. Ndio maana kuna muda wadau tunaamuaga kuupotezea huu uzi na hatuweki hata mikeka maana mnazingua sana, kila siku mnaelezewa lakinji bado mnarudia kitu ikoiko tu. Shule na vyuo vifungue mkawe busy sasa.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]...shida kweli...
 
Back
Top Bottom