Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mnaofatilia game ya girona live.

Kuna nini uko?

Mbona magoli mengi yanafungwa na kukataliwa.

What's problem?

Hizi score correction mbona zmekua nyng sana Leo?

Wamefunga mara kadhaa aisee yanachomolewa alafu muda mrefu nilitaka kuwapa Both to score roho ikawa inasita.
 
upload_2018-4-13_23-56-23.png
 
Back
Top Bottom