Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu nimejichanganya nime deposit pesa kwenye account yangu ya 1xbet kabla hawajanitumia ile text yao....

Ndio nimeingia kwenye account naona salio halisomi nimejaribu kuwapigia airtel naona hawapokei simu kwa ambaye alishafanya hivi na pesa yake ikarudi naomba anielekeze nifanye nini ili pesa niliyoituma kwenye account yangu isome....
 
In play

Totenham vs Man city

Yellow card first half: under 1.5

Odds: 1.54

Stake 10% oyc
 
Duh!
Pole sn

Waone technical team bench wa 1xbet , wanaweza kua na msaada

Ila kwa kesi km hyo nna imani ela haijawafkia 1xbet.

Ela ako bado iko airtel money

Hapa solution ni Ku cancel muamala kutoka airtel money.
 
Duh!
Pole sn

Waone technical team bench wa 1xbet , wanaweza kua na msaada

Ila kwa kesi km hyo nna imani ela haijawafkia 1xbet.

Hapa solution ni Ku cancel muamala kutoka airtel money.
Una cancel vipi muamala mkuu deeppond
 
Duh!
Pole sn

Waone technical team bench wa 1xbet , wanaweza kua na msaada

Ila kwa kesi km hyo nna imani ela haijawafkia 1xbet.

Ela ako bado iko airtel money

Hapa solution ni Ku cancel muamala kutoka airtel money.
Maana ni elfu 50 mkuu
 
INPLAY nilikuwa nimeshafunga mahesabu. Kama kawaida Shetani akanipitia. nipo tu hapa aisee naangalia hii mia Tatu iliyobaki. Daah!!!.
 
Hiyo pesa imesha enda MLIPA itabidi Jumatatu uwacheki ili utengeneze request upya pesa waingize kwenye akaunti yako ya 1xbet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…