Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona kama asenal akil yake haiko huku iko kule kukubwa
Alafu naona kapewa odds kubwa mno.

Hii game hii ina walakini, NAITAFAKARI SANA.

****WAKUU, EBU LETENI MAWAZO TUNAIFANYAJE HII MECHI***

Nawasilisha
 
Mmh,

Refa mwenyewe wa Leo ni "Antony Taylor"

Huyu jamaa huwa mgumu sana wa kutoa kadi na penalty.

Foul kibao huwa anapeta.

HATA UKICHECK PROFILE YAKE UTAONA NNAYOSEMA

Afu tokea benitez ameichukua Newcastle, game discipline imeongezeka sana.

Wanamiliki na kupress sana mpira, hivo hawacommit sana fouls

LABDA,
Player sent off-NO
 
angalieni muhindi *asirare mbere* na mikeka yenu sasa chukua hao wenye odds kubwa wape handicap au double chamce na usubiri hela.

leo kutakuwa na sapraizi za kutosha

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…