Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mmh,

Refa mwenyewe wa Leo ni "Antony Taylor"

Huyu jamaa huwa mgumu sana wa kutoa kadi na penalty.

Foul kibao huwa anapeta.

HATA UKICHECK PROFILE YAKE UTAONA NNAYOSEMA

Afu tokea benitez ameichukua Newcastle, game discipline imeongezeka sana.

Wanamiliki na kupress sana mpira, hivo hawacommit sana fouls

LABDA,
Player sent off-NO
Jonjo Shelvey amenishawishi naamini moja ya Yellow za N'castle itakua yake nimeshaweka mzigo tokea jana Usiku.....hii No Player sent Off yaweza pia kuharibiwa na uyu uyu Jonjo, amekua akikamia sana team za wakubwa na kupata red tokea akiwa Liverpool na rekodi yake kwa kupata red card na yellow card iko vizuri tu. Option Hizi pia zinaweza lipa
X/2
Under 3.5
Over 8.5 corners
 
Hebu tupeane uzoefu jamanii hizi game za mapema hata team..iwe mamba kiasi gani.. lazima iaribu..Jana maccifileld,Leo spart Moscow huwa sielewi game za mapema Zina nini
 
Handball Inplay
Capture.JPG
 
Back
Top Bottom