Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inakua Bet lost mkuu,

Wakuu,
Kuweni makin na hzi options

Nawaona tu mnavochanganya hizi option mbili

HT/FT na 1H/2H

KwenyeHiyo game,
home team kaongoza first half (HT) 2:0, Tunatia tick [emoji818]

Second half away team akafunga goli 2:1, Mpaka full time ikasomeka 3:2, Tunatia loss [emoji777]

MAANA AKE ,
TEAM A ameshinda first half na full time kashinda mechi pia

Kilichotokea kwny hiyo mechi ni HT/FT - 1/1

Ushaur
KUWENI MAKINI SANA NA HIZI OPTION KABLA HAMJATIA STAKE

KAMA OPTION INATATIZA UNAITUPIA HUMU UNAELEWESHWA KABLA HUJAWEKA STAKE.

KAMA OPTION IMESHNDKANA NA HUIELEWI, NI BORA TU USIWEKE STAKE YAKO HAPO.
OK mdau umesomeka
 
Deep pond nisaidie hii game hapa: HT/FT. 1/2, 1/1, X/1, X/X, 2/1, X/2, 2/X. ??????
Screenshot_20180416-090101.jpg
 
Kilichotokea kwny screen shot hapo juu ni HT/FT - 1/X

Maana ake,
First half Home team ameongoza 1:0 { 1} [emoji818]
Full time mechi imeisha kwa sare ya 1:1 {X} [emoji818]
Kwahiyo 1/2 ni wrong????????
 
Hii kweli Ngumu kumeza!!!!
Ungekua umecheza "1H/2H - 1/2 "

hapo ungetia [emoji818] ungekua umekula mkeka wako

Ila kama umecheza HT/FT- 1/ 2

Hapo ni kutia [emoji777] na unakua umekula kitu cha Lost kwny mkeka wako
 
Ungekua umecheza "1H/2H - 1/2 "

hapo ungetia [emoji818] ungekua umekula mkeka wako

Ila kama umecheza HT/FT- 1/ 2

Hapo ni kutia [emoji777] na unakua umekula kitu cha Lost kwny mkeka wako
Big up mkuu kama waweza tafuta game 3 ambazo unaamini zinaweza pata matokeo ya 1/2 au 2/1 zitupie hapa kuna njia fulani nataka nijaribu kwa game zote 3 kwa kutumia tree diagram
 
Big up mkuu kama waweza tafuta game 3 ambazo unaamini zinaweza pata matokeo ya 1/2 au 2/1 zitupie hapa kuna njia fulani nataka nijaribu kwa game zote 3 kwa kutumia tree diagram
Achana na hiyo option mkuu ya ngumu kumeza HT/FT - 1/2.

Cheza option za kawaida zisizo na complications sana.

ASIKUDANGANYE MTU
Hiyo option haina utaalamu wala uchambuz

Hiyo OPTION ni 100% unacheza kutegemea na bahati yako

Sasa Mimi binafsi kufanya betting inayotegemea 100% bahati,

Huwa najiona napoteza TU pesa.
 
Ok
 
Yaani sijui huwa na mkosi gani siku nikiweka stake za 20000+ mikeka yangu huwa inachanika sana lakni nikiweka dau dogo ndio huwa nakula inauma sana wakuu[emoji20] [emoji20]
Screenshot_20180416-101146.jpg
 
Back
Top Bottom