OK mdau umesomekaInakua Bet lost mkuu,
Wakuu,
Kuweni makin na hzi options
Nawaona tu mnavochanganya hizi option mbili
HT/FT na 1H/2H
KwenyeHiyo game,
home team kaongoza first half (HT) 2:0, Tunatia tick [emoji818]
Second half away team akafunga goli 2:1, Mpaka full time ikasomeka 3:2, Tunatia loss [emoji777]
MAANA AKE ,
TEAM A ameshinda first half na full time kashinda mechi pia
Kilichotokea kwny hiyo mechi ni HT/FT - 1/1
Ushaur
KUWENI MAKINI SANA NA HIZI OPTION KABLA HAMJATIA STAKE
KAMA OPTION INATATIZA UNAITUPIA HUMU UNAELEWESHWA KABLA HUJAWEKA STAKE.
KAMA OPTION IMESHNDKANA NA HUIELEWI, NI BORA TU USIWEKE STAKE YAKO HAPO.
Kilichotokea kwny screen shot hapo juu ni HT/FT - 2/XDeep pond nisaidie hii game hapa: HT/FT. 1/2, 1/1, X/1, X/X, 2/1, X/2, 2/X. ??????View attachment 746030
Kwahiyo 1/2 ni wrong????????Kilichotokea kwny screen shot hapo juu ni HT/FT - 1/X
Maana ake,
First half Home team ameongoza 1:0 { 1} [emoji818]
Full time mechi imeisha kwa sare ya 1:1 {X} [emoji818]
Very wrong, hapo ni 2/XKwahiyo 1/2 ni wrong????????
Hahaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Very wrong
Hii kweli Ngumu kumeza!!!!Very wrong, hapo ni 2/X
Ungekua umecheza "1H/2H - 1/2 "Hii kweli Ngumu kumeza!!!!
Big up mkuu kama waweza tafuta game 3 ambazo unaamini zinaweza pata matokeo ya 1/2 au 2/1 zitupie hapa kuna njia fulani nataka nijaribu kwa game zote 3 kwa kutumia tree diagramUngekua umecheza "1H/2H - 1/2 "
hapo ungetia [emoji818] ungekua umekula mkeka wako
Ila kama umecheza HT/FT- 1/ 2
Hapo ni kutia [emoji777] na unakua umekula kitu cha Lost kwny mkeka wako
Pole sana,
Achana na hiyo option mkuu ya ngumu kumeza HT/FT - 1/2.Big up mkuu kama waweza tafuta game 3 ambazo unaamini zinaweza pata matokeo ya 1/2 au 2/1 zitupie hapa kuna njia fulani nataka nijaribu kwa game zote 3 kwa kutumia tree diagram
Achana na hiyo option mkuu ya ngumu kumeza HT/FT - 1/2.
Cheza option za kawaida zisizo na complications sana.
ASIKUDANGANYE MTU
Hiyo option haina utaalamu wala uchambuz
Hiyo OPTION ni 100% unacheza kutegemea na bahati yako
Sasa Mimi binafsi kufanya betting inayotegemea 100% bahati,
Huwa najiona napoteza TU pesa.
Timu ya walinzi hiyo,
Pole sana mkuu
Nili- Screenshot Ila sikuucheza kaka.Kuna aliyefuata huu
Shukran kwa kupokea kidogo husafisha mikono kupokea kikubwa zaidiYaani sijui huwa na mkosi gani siku nikiweka stake za 20000+ mikeka yangu huwa inachanika sana lakni nikiweka dau dogo ndio huwa nakula inauma sana wakuu[emoji20] [emoji20] View attachment 746135