Duh,Wakuu game ya simba inatoa corner kwelikweli....
Corner 8 kwa sasa
Duh!Ha ha Ha ......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amaa kweli, betting haina mbwembwe
Fixed zote zimesoma
"BET LOST"
Shukran sn kwa ushirikiano wako mkuu
Duh!Ha ha Ha ......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amaa kweli, betting haina mbwembwe
Fixed zote zimesoma
"BET LOST"
Shukran sn kwa ushirikiano wako mkuu
Ndo ivo mkuu,Duh!
Hiyo ya kwanza bado inapumua Al-wathba (Syria) ameongoza kipindi cha kwanza na mechi ipo dk ya 50Ha ha Ha ......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amaa kweli, betting haina mbwembwe
Fixed zote zimesoma
"BET LOST"
Shukran sn kwa ushirikiano wako mkuu
Hebu niwah nkajalibu kutia stake hapoHiyo ya kwanza bado inapumua Al-wathba (Syria) ameongoza kipindi cha kwanza na mechi ipo dk ya 50
Poa kesho napo nitatuma mkuuNdo ivo mkuu,
Kikubwa tumshkuru Mungu tumejaribu
Lait mambo yangeenda vzur,
TUNGEKUA TUNACHEKELEA SAHV
Itakua vema mkuuPoa kesho napo nitatuma mkuu
Kitu kimesomaHebu niwah nkajalibu kutia stake hapo
Bet Lost......matokeo ya Full time inabidi wa ugenini awe kashinda ki ujumla kwa hiyo mechi pindi mechi ishaapo
*†*******BET WOOOOOOOON******In play
Tanzania
Simba vs Prison
Over 1.5 goals full time
Odds: 1.52
Nachapa stake hapaHANDBALL INPLAY
View attachment 746595
OK mzee babaBet Lost......matokeo ya Full time inabidi wa ugenini awe kashinda ki ujumla kwa hiyo mechi pindi mechi ishaapo