Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-4-16_19-21-52.png
 
Tatizo umerudia rudia timu.

Hapo Persepolis akifungwa au akitoa sare anaondoka Bet slip mbili kwa mkupuo.

HIYO MCHEZO YA KURUDIA RUDIA ILE ILE MECHI MOJA,
OPTION ILE ILE MOJA

KIBAYA ZAIDI,
KWNY BET SLIP ZAIDI YA MOJA NI HATAR SANA.

Ni kweli Mkuu nakubaliana na wewe ni Risk. Ila huo namba 2 ni Tofauti na namba 1. Nimekuja kuzichanganya zote kwenye namba 3.
 
Back
Top Bottom