Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,357
Tenda miujiza maana hili balaa na team moja Sasa itakuwa too much
Huyu Rio Ave.. aiseJaribu kwa Rio ave mkuu ikitiki nikumbuke hata soda mimi nimetumiwa alfu kampuni ya m-bet haina option hiyo try your best boss
Wakuu haka kambinu ka kuzigawa timu katika mikeka mitatu tofauti kanasaidia saidia jana kameniokoa.
Kila mkeka na Stake yake na Ukubwa wa stake BET 1 - 15%
BET 2- 10%
BET 3- 5%
BET 1
Persepolis to win vs Al-Sadd,
Over 2.5 Goals Chelmsford vs Wealdstone.
Bet 2
Hammarby to win vs Brommapojkarna Shamrock, Rovers to win Vs Bray,
Over 1.5 Mainz Vs Freiburg.
BET 3
Hammarby to win vs Brommapojkarna,
Shamrock Rovers to win Vs Bray,
Over 1.5 Mainz Vs Freiburg,
Persepolis to win vs Al-Sadd,
Over 2.5 Goals Chelmsford vs Wealdstone.
Walivyokua wapuuzi wamekuja kupiga kona yao moja dk ya 93 na kuharibu biasharaKesho nayo Siku Stoke City first half hawajapiga kona hata moja!! Inatia hasira
Pole mkuuNimeshatumia ufundi wangu wote wa ku bet yanii....but heaven have forecast me kabisa..SI kea balaa hili
Asante mkuu halafu kesho nayo ona majeshii jina sijuii atakuwa naniPole mkuu
Mkuu kama unamtaji wa laki tatu ni bora tu ukacheza virtual football toka premierbet iko vizuuuri sanaaa kwa siku huwez kosa 50,000/= au 45,000/=..Nimeshatumia ufundi wangu wote wa ku bet yanii....but heaven have forecast me kabisa..SI kea balaa hili
Sijuii kucheza mkuu hiyo kituMkuu kama unamtaji wa laki tatu ni bora tu ukacheza virtual football toka premierbet iko vizuuuri sanaaa kwa siku huwez kosa 50,000/= au 45,000/=..
Kweli mimi nakuambia.
Ila mkuu nikupongeze sana, una kipaji cha kusuka mkeka cha hali ya juu sana, nadhan muhindi akiona tu mkeka wako lazima aanze kujiuliza huyu jamaa ana nia gani. Nakuomba tu usiache ipo siku utamuotea tu, mi huwa folowa wako sana katika mikeka yakoIla kwa sababu na karama ya kuona majeshii Sina bahati so nisipo bet ntakuwa na roho mbaya inawezekana wenzangu wakaona majeshi
faida ya 50,000 kwa mtaji wa laki tatu? Maaaan your kiddingMkuu kama unamtaji wa laki tatu ni bora tu ukacheza virtual football toka premierbet iko vizuuuri sanaaa kwa siku huwez kosa 50,000/= au 45,000/=..
Kweli mimi nakuambia.
Na shukuru mkuu licha ya kupoteza kwa siku Saba mfululizo mikeka zaidi ya mitatu daily team moja sitoacha kwa faida ya wengine ..ndo maana na posta humu ili wengine wenye bahati wachague au wafuate kama ilivyo.haijawapita siku nisione majeshi hata 6 mpaka Pakistan,Libya,benini Salvador aise one day yesIla mkuu nikupongeze sana, una kipaji cha kusuka mkeka cha hali ya juu sana, nadhan muhindi akiona tu mkeka wako lazima aanze kujiuliza huyu jamaa ana nia gani. Nakuomba tu usiache ipo siku utamuotea tu, mi huwa folowa wako sana katika mikeka yako
Ho hongera mkuuBET 1 [emoji736]
BET 2 [emoji777]
BET 3 [emoji777]
Timu moja Shamrock wanaelekea kuchana mikeka miwili Dk 88 wameshafungwa.
BET 1 imerudisha jumla ya Stake yote niliyoweka kwenye Mkeka huu kwa hiyo sijapata Hasara.