dottoz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 1,510
- 881
Hii ni kwa kila siku ,piga hesabu kwa mwez una kiasi gani??? Kama sio zaidi ya 300,000/=...faida ya 50,000 kwa mtaji wa laki tatu? Maaaan your kidding
Wewe biashara hujawahi fanya inaonekana yan unaanzsha biashara af unataka kila siku upate faida zaidi ya mtaji uloanzsha nayo hyo biashara????????????