Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wadau naombeni msaada wenu tafadhali
Nikitaka kubeti 1×bet mfano ndio nimeselect option ile naclick tu bet inakua ishajitengeneza yenyewe na stake pia
Nimejaribu kutafuata ile sehemu ya one click na yenyewe nimeikosa
Nisaidieni hapo tafaadhali
 
mida ya kazi hii, tokea wiki jana nachezea za mbavu tu nahitaji odds 5 tu
 
Kazi Kazi.
Screenshot_2018-04-17-12-12-10.jpg
Screenshot_2018-04-17-14-32-12-1.jpg
 
USHAURI WANGU KUHUSU KONA... ukiona Team Kubwa inacheza na Timu isiyoweza kukaza ujue lazima kona zitakua chache.... Mbaya zaidi wakiwahi kufunga goli. Mfano Barcelona acheze na Eibar automatic kona zitakua chache hasa barca akiwahi kufunga goli maana atakua anapiga Pasi nyingi kwa kujiamini.

ZINAPOKUTANA team zinazolingana lingana nguvu ujue kila mtu atataka amfunge mwenzake kutakua na mkamiano. Hapo tegeme kona nyingi sana. Mfano Celta Vigo vs Sevilla team hizi zikikutana kona lazima ziwe over 8
 
Back
Top Bottom