Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play

AFC

Persepolis vs Al saad

Yellow card: Persepolis over 1.5 at full time

Odds: 1.95
 
Wakuu haka kambinu ka kuzigawa timu katika mikeka mitatu tofauti kanasaidia saidia jana kameniokoa.


Kila mkeka na Stake yake na Ukubwa wa stake BET 1 - 15%
BET 2- 10%
BET 3- 5%

BET 1

Persepolis to win vs Al-Sadd,
Over 2.5 Goals Chelmsford vs Wealdstone.


Bet 2

Hammarby to win vs Brommapojkarna Shamrock, Rovers to win Vs Bray,
Over 1.5 Mainz Vs Freiburg.


BET 3


Hammarby to win vs Brommapojkarna,
Shamrock Rovers to win Vs Bray,
Over 1.5 Mainz Vs Freiburg,
Persepolis to win vs Al-Sadd,
Over 2.5 Goals Chelmsford vs Wealdstone.
 
Tatizo umerudia rudia timu.

Hapo Persepolis akifungwa au akitoa sare anaondoka Bet slip mbili kwa mkupuo.

HIYO MCHEZO YA KURUDIA RUDIA ILE ILE MECHI MOJA,
OPTION ILE ILE MOJA

KIBAYA ZAIDI,
KWNY BET SLIP ZAIDI YA MOJA NI HATAR SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…