Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hao wote wacheza foul wazoefu

Leo nashangaa kwa nn hata foul zimepelea

Ila najua TU, mmoja akifungwa lazima panic itakuepo na zaweza mwagika mfurulizo.

Kingine ni kwamba refa MWENYEWE wa Leo ni David Jimenez,

Huyu refa ni mnoko balaa, anatoa kadi kama mvua vile.

Hatakagi ujinga kabisa, hata kama mchezaj uko benchi au shabiki.

Yeye anakulima TU card

Ni SUALA LA MUDA TU.

TUOMBE HUU UTULIVU NA discipline IENDELEE MPK MWISHO.
Nimekuelewa mkuu... naona bayern hataki mchezo kabisa... ndani ya dkka 10 goal mbili huyu natia tick.... Anabaki tot virrareal na barca nichukue ushindi
 
Spain. Primera Division
Deportivo de La Coruna - Sevilla

Total Under (1.5)

Odds
1.33
 
Wakuu hizi yellow card mbona kama naona kuna hela hapa....View attachment 748165
Kingine,

NIKUSISTIZE

Ni hatar sana kucheza "under" kwny upande wa yellowcard kwny football.

Hata kama zimebaki DKK 5 mechi iishe.

USITHUBUTU, USIZIONE ODDS KUBWA WAMEKUWEKEA Ukazishobokea.

"NI HATAR"

Kwann nasema hv,
Takwimu zinaonyesha, mechi karibu zote duniani.

Yellowcard nying zinatokea dkk 10 za mwisho wa mechi.

Pia dkk 5 mwisho wa first half

pamoja na dkk 5 mwanzo wa second half

HASA HASA HAPO KWNY dakika 10 za mwisho, usithubutu kabisa kucheza "under"

NB: KABLA hujajitosa kwny kubet yellow card, hakikisha unamfahamu kwa kina referee wa mechi husika na tabia zake ktk mechi anapochezesha.

Natumai mmenielewa wakuu

Nawasilisha kwa faida ya wote
 
Kwa maelezo hayo nakupa Nyota tano uchambuzi wako uko deep kama jina lako....

Na amini kila mtu amenufaika na somo husika hapo juu....
 
Barcelona and Bayern munchen
Both to have a corner in all corners of the pitch.

Odds 11.
1xbet.
Kwa Barcelona ngumu sana.

Hii game nna wasiwasi itakua na uhaba wa corner.

Barca akicheza away huwa hashambulii sana.

Anacheza akuvizie akufunge aanze kuzigonga pasi.

Vinginevyo ametanguliwa, hapo ndo utamwona akipiga corner nyingi

Hiyo option ni ngumu sana na inawafaa wadunguaji corner asilia kama INTERMILAN na Roma na R.madrid wakicheza home ground.
 
Uyu mchezaji wa Celta Vigo boya sana...kakosa goli ye na kipa
Mkuu naona upo unacheki hiyo game ya barca naomba unihesabie hizo kona katika pembe zote km kuna kibendera anazuia nambie asitake kuchezea hela yangu mi naumia huku.
 
Back
Top Bottom