Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hao jamaa ni Scammers.
Ni Wezi Sana
Watakuibia
 
Angalizo league nyingi zinaelekea ukingoni,team nyingi mahesabu wameshafunga, nadhani league Kama France, Germany , England,Holland ,inabidii tuhamie vi league vya Norway ,swidish,
 
Usije jaribu mkuu nakushaur kenya wez na hamna fixed match wala nn usije jarb utapoteza pesa yako.
 
Amani iwe juu yenu..kenikia la siku la pili (Odds 390+)

CD Alaves v Girona FC
Spain LaLiga
19-04-2018 20:30:
Halftime Fulltime
X/1
5.02
- (-)
Real Sociedad v Atletico Madrid
Spain LaLiga
19-04-2018 20:30:
Halftime Fulltime
2/2
3.93
- (-)
Fenerbahce v Besiktas JK
Turkey Turkiye Kupasi
19-04-2018 20:30:
Halftime Fulltime
1/1
3.89
- (-)
Club Sport Emelec v CA River Plate
International Clubs Copa Libertadores, Group D
20-04-2018 03:30:
Halftime Fulltime
2/2
4.33
- (-)
CSKA Moscow v BC Khimki Moscow
International Euroleague, Playoffs
19-04-2018 20:00:
3 Way
1
1.2
- (-)
 
UNATAPELIWA MKUU,

Hakuna kitu kinaitwa fixed match

Na kama kipo ni kwa kiwango kidogo sana.

Na wala sio cha kila siku, Ni kwa nadra sana game za fixed zinakuepo.

Suale la mpk ufikie hatua ya kulipia bill ya kila mwezi.

Hapo Nanusa harufu ya utapeli ndani yake.

NAWAZA TU KWA SAUTI
Huenda hiyo ni marketing strategy tu ya wahuni TU flani flani wanaokaa na kuchambua mechi NA kutoa winning tip.

Acha kupoteza muda na pesa zako.

Huu Uzi wetu pendwa ni zaid ya Mara mia ya hayo magroup ya kihuni huko kwingine.

Hao wahuni wa Fixed match wameshapita wengi sana HUMU

MF: john sing n.k

Ila bado matokeo ni Yale Yale.

NIKUSHAURI TU MKUU

Kaa na wenzio humu
Tulia na chambua game zako mbili, tatu au NNE za kutafutia ela ya supu kila siku.

Nyongeza ya hilo,
NIKUTOE SHAKA MKUU,

Hii familia yetu ya betting HUMU jf

Ni mojawapo ya familia bora kabisa kupata kutokea dunia hii ya sasa

Humu Kuna WATU wengi sana wa manufaa kwako, watu wanaojitoa sana, watu wenye upeo na uzoefu mpana sana, watu wenye bahati sana.

Na pia watu wenye kufurahia mafanikio ya kila mmoja wetu.

Bila hata kukutoza thumni yoyote kugharamia juhudi zao.

***Nna imani matunda utayaona***
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…