Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MH LABDA city ila man u wamentia hasara sana aisee
Man utd alkua mzur wa corner kipind ligi imeanza.

Sahv amekua mpaki basi mzoefu.

Hapigi corner kama zamani.

KWENYE TIMU ZANGU TEGEMEO KWA CORNER, MAN UTD NIMESHAMPUMZISHA

MPAKA PALE NITAKAPOJIRIDHISHA KUA KAJIREKEBISHA NA HII TABIA YAKE DHALIMU
 
sure yani kwanza simtaki kabisa mpk next season aisee.....saivi nmehamia MLS nna majembe yangu la galaxy newyork city na brazil kule kuna mjembe km palmeiras,flamengo, corinthia naangalia kazi inakwendaje kabla ya worls cup.....
 
Atletico Madrid anawasalimia
IMG_20180419_220637.jpg
 
Leo ndiyo zile siku ngumu katika Betting Dadekiiii kila wiki huwa ina siku moja au mbili za vipigo na leo ni moja ya siku hizo.

Mapambano yanaendelea
 
Huyu refa nina mashaka nae View attachment 750347
Ha ha ha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyo ndo Pablo Gonzalez

Hataki kabisa upuuz upuuzi mida ya kazi

Yuko kama Kobe hivi, anaweza mkafanya vitimbi akawachunia TU.

Mashetani yake yakimpanda,mnaweza mkajutia daima.

USIOMBE UMKUTE ANACHEZESHA EL CLASSICO,

ANATOAGA RED CARD KAMA MASIHALA VILE UKU ANATABASAMU.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] niliikuta dk ya 75 hakuna hata kadi moja, nikaenda nayo kwa und 3.5 card odd 1.3... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kilichonikuta nacheka tu hapa....
si mchezo
 
Ha ha ha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huyo ndo Pablo Gonzalez

Hataki kabisa upuuz upuuzi mida ya kazi

Yuko kama Kobe hivi, anaweza mkafanya vitimbi akawachunia TU.

Mashetani yake yakimpanda,mnaweza mkajutia daima.

USIOMBE UMKUTE ANACHEZESHA EL CLASSICO,

ANATOAGA RED CARD KAMA MASIHALA VILE UKU ANATABASAMU.
Ilikuwa combination nzuri kimtindo
IMG_20180419_223838.JPG
 
Back
Top Bottom