theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Uhakika... hata mm naona corner ni salama zaidi kuliko direct win au option nyingine....Leo ngoja nideal na kona
Chelsea
Sotton
Atm
All ov 8.5 corners
Man utd alkua mzur wa corner kipind ligi imeanza.MH LABDA city ila man u wamentia hasara sana aisee
sure yani kwanza simtaki kabisa mpk next season aisee.....saivi nmehamia MLS nna majembe yangu la galaxy newyork city na brazil kule kuna mjembe km palmeiras,flamengo, corinthia naangalia kazi inakwendaje kabla ya worls cup.....Man utd alkua mzur wa corner kipind ligi imeanza.
Sahv amekua mpaki basi mzoefu.
Hapigi corner kama zamani.
KWENYE TIMU ZANGU TEGEMEO KWA CORNER, MAN UTD NIMESHAMPUMZISHA
MPAKA PALE NITAKAPOJIRIDHISHA KUA KAJIREKEBISHA NA HII TABIA YAKE DHALIMU
Kasepa na mkeka wanguAtletico Madrid anawasalimiaView attachment 750334
Naona kaongezewa doziAtletico Madrid anawasalimiaView attachment 750334
Nilikua nacheki hio game mkuu, at least over 11 corners imerudisha mtaji dah.Naona kaongezewa dozi
***** yellow card 8 ndani ya dakika 15 si mchezoHuyu refa nina mashaka nae View attachment 750347
Ha ha ha....Huyu refa nina mashaka nae View attachment 750347
[emoji23] [emoji23] [emoji23] niliikuta dk ya 75 hakuna hata kadi moja, nikaenda nayo kwa und 3.5 card odd 1.3... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo ndo Pablo Gonzalez
Hataki kabisa upuuz upuuzi mida ya kazi
Yuko kama Kobe hivi, anaweza mkafanya vitimbi akawachunia TU.
Mashetani yake yakimpanda,mnaweza mkajutia daima.
USIOMBE UMKUTE ANACHEZESHA EL CLASSICO,
ANATOAGA RED CARD KAMA MASIHALA VILE UKU ANATABASAMU.
Ilikuwa combination nzuri kimtindoHa ha ha....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo ndo Pablo Gonzalez
Hataki kabisa upuuz upuuzi mida ya kazi
Yuko kama Kobe hivi, anaweza mkafanya vitimbi akawachunia TU.
Mashetani yake yakimpanda,mnaweza mkajutia daima.
USIOMBE UMKUTE ANACHEZESHA EL CLASSICO,
ANATOAGA RED CARD KAMA MASIHALA VILE UKU ANATABASAMU.
Ndio nn hi sasaHahaaa we jamaa umeamua ujitekenye?
Kwanza ulishaacha ujinga wako wa kuuza tips kule FB??
View attachment 750321
Nawaogopa sana kwenye hiyo option ya kona hawana msimamo kabisa... Kukusaliti kwao ni kitu kidogo sanaNaona waingereza wamegoma kupiga kona 1st half....ngoja tuone 2nd
Ngoja tuone hali itakavyokua 2nd half....ingawa mambo sio mazuriChelsea s dhan kma atatoa Corner 8.5