Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nina wasiwasi na Arsenal hapo, hiyo mechi haieleweki next week Europa, Westham ana fight kutoshuka daraja mawazo yangu hayo.
 
My take:
Imekaa poa sana

Ila arsenal ni vema ungempa corner HT/FT- 1/1

Binafsi
Hii timu ya arsenal huwa sina imani NAYO kabisa kwny idara ya direct win.
 
My take:
Imekaa poa sana

Ila arsenal ni vema ungempa corner HT/FT- 1/1

Binafsi
Hii timu ya arsenal huwa sina imani NAYO kabisa kwny idara ya direct win.
Pamoja sana Chief. Huyu Arsenal ashakuwa kirusi ngoja nimchomoe. Nashukuru kwa ushauri mkuu.
 
ua vigogo wote upate mil15 kwa buku
 

Attachments

  • IMG_20180422_122011_459.JPG
    68.6 KB · Views: 46
Wakuu mliofanikiwa kubet PREMIER leo mmefanyaje? Naona tatizo lao limeanza tena.
 
In play

Kazakhstan

Tobol vs akzhayik

Over 2 goals at full time

Odds: 1.63
 
My take:
Imekaa poa sana

Ila arsenal ni vema ungempa corner HT/FT- 1/1

Binafsi
Hii timu ya arsenal huwa sina imani NAYO kabisa kwny idara ya direct win.
Kabisaaa mkuuu KAMA GARI LA MKAA LEO BARABARANI KESHO GARAGE LOH
POOR WENGER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…