Senator_4994
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 233
- 402
[emoji56] [emoji56]
Nadhan hawa warusi kuna marekebisho wamefanya hv karbuni kwny sheria zaoWandugu ufafanuzi kidogo kwny 1xbet,
Jana game ya Barcelona niliweka option ya Paulinho not to score a goal at anytime. Na aliingia sub dk 70hv na hakufunga, sasa nakuta 100% refund hii imekaaje?
Cc
Deeppond, Mr. Wise, asrams na wote
Pole sn kamanda wangu,Nashukuru kwa ushauri Chief. Hawa QUMER sina hamu nao kabisa. Yaani wamenirudisha nyuma kwa kiasi kikubwa sana. Najuuuta kuwafahamu hawa mama wa kihindi. AC Milan walikuwa nyumbani wakicheza na timu ambayo tayari imeishashuka daraja na wanapigana wakacheze Europa mwakani, nikadhani wakataza badala yake wanabet kufungwa. Haya matimu ya Italy ni maQUMER kabisa.
View attachment 752839
Ac milan ******* sana kufungwa na timu ambayo imeshuka daraja arafu wako home dah.
Wamenikosesha m nzima View attachment 752876View attachment 752877
Ukiifungua App yake, kuna sehemu ya live events za sports, unachungulia hapo huwa kunakuwa na mechi na channel inaoyoinesha live
So haiitaji sana kuhangaika kujua mechi inaoneshwa kupitia channel gani hasa kwa game kubwa
Akijaribu ku reset vip bado inafnyw hvhvWakuu,
Msaada tafadhar
Simu yangu kwa sasa haipigi inagoma kupga screenshots
Hata ile shortcut ya screenshot pale juu hata haitokei skuhz
Its almost a month now.
Nmejaribu kudownload screeshots apps kama 3 hivi, ila zote zinagoma kufanya kazi
Asante sana chief. Wakuu naombeni ushauri wenu kabla sijatupia dau nene. Nimpunguze/nimuongeze nani kwenye orodha hii? Jana AC Milan wamenilaza na viatu sina hamu kabisa. Ushauri wenu ni muhimu sana.Pole sn kamanda wangu,
Mapambano yanaendelea