Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Najuta kuifahamu timu QUMER kama AC Milan. Kuanzia leo Italy nitakuwa nabetia timu 3 tu: Juve, Roma & Napoli. Leo hii miku*** AC Milan imesepa na mtaji wangu wote. Hawa wase.nge watakuwa wamebet sio bure. Watafungwaje na timu iliyoshuka daraja?

Anyway, kesho nayo siku. Usiku mwemeni machief wote.
Mkuu pole sana ila ungekua unasoma post zetu humu may be yasingekukuta. Jana tu tumetoka kuwaongelea hao wa Italy walivyo, uyo Juve unayesema utambetia ndio kabisaaaa aliwahi kupanga matokeo akashushwa daraja pamoja na kupokonywa ubinga. Italia mi kwangu ni ligi ya kucheza magoli, kona na yellow card tu
 
Barca WIN
Copenhagen WIN
Marseille WIN
Tottenham over 2.5

Nikongeza mchawi BENFICA WIN.

Daah very disappointed
 
upload_2018-4-22_0-24-30.png


WON
 

Attachments

  • upload_2018-4-22_0-24-30.png
    upload_2018-4-22_0-24-30.png
    13 KB · Views: 49
Lengooo MOJA tule pamojaaaaa
NIliwahi semaa walioanzisha grp zao za kuwaibia WATU what's up tokahumu nikaunganishwa nkaanza kuwatumia tips hizihizi..mwisho naafwatwa inbox we n pdidy sidawi nkajibu ndio
Nkaonaa mpuuzi MMOJA kaandika HUYU n wakala wa khanji namjua toka jf...mwingine kaandikaa tena siosmtz kha ..niliwajibu akifa pdidy watanyanyuk
Screenshot_20180422-010732.png
Screenshot_20180422-010725.png
a WENGINE src ZOOTE nimeziweka hapa ...tupendane

WALIOFWATAA [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOMZOTEEE[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom