Hiyo ndio maana halisi ya kuwepo kwa hili jukwaa sasa huwa sielewi watu wanapokua wabinafsi alafu kila siku wapo huku kuokota tip za za watuNi kweli mfano mimi jana nimeokota okota kwa P Didy nimemfumua Muhindi mpunga mwingi jana
In play
Fa cup
Man utd vs Tottenham
First half corners: under 10.5
Odds: 1.47
Cheza "shots on target first half- man utd under 1.5"Nimechelewa Under 8 vipi?
Nimechelewa hapaWAKUU BAADA JANA MONACO KUNINYIMA 1.3 ML,LEO NIMEANDAA MZIGO MWINGINE WA 1.2 ML KWA 5000 MWENYE UWEZO AFUATE.
Cheza "shots on target first half- man utd under 1.5"
Ina odds 1.5
Pole snNimechelewa niliweka Corner Under 6 AISEE nimenyooshwa
Pole sana mkuu naona ulikuwa unaenda kupata pesa nzuri...Mapambano yanaendelea keshavuta elfu 40 yangu View attachment 752246
Mkuu ili kenikia lilitokaje? Maana sina hata mb na sijui Jana kilitokea nn, matokeo plz maana nililigawa Mara 3Kenikia la 3..Odds 20+
View attachment 751016
Dah, inauma sana[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Mapambano yanaendelea keshavuta elfu 40 yangu View attachment 752246
wooooonIn play.
Man utd vs Tottenham
Goal kick- Man utd over 6.5
Odds: 2.24
********BET WOOOOOOOON****"In play.
Man utd vs Tottenham
Goal kick- Man utd over 6.5
Odds: 2.24
Mobdro hata NBA inapatikana?Kuna application ya Mobdro kama una smartphone yenye 4g network.
Iko super sana.